Habari za Punde

Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF Latunukiwa Tunzo na Taasisi ya Nelson Mandela Chirldren Festival Award. Wakati wa Ufungaji wa Katika Viwanja Vya Ngome Kongwe Forodhani Zanzibar. Wasanii wa Tanzania Waibuka Kidedea Wanyakua Tunzi Nyingi ZIFF.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ZIFF Zanzibar Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi Tunzo aliyokabidhiwa na Wawakilishi wa Taasisi ya Nelson Mandela Children Festival Award, kwa Ajili ya Ziff, akimkabidhi Mjumbe wa Bodi ya Wadhamani wa ZIFF. Bi. Fatma Aloo, wakati wa hafla ya Ufungaji wa Tamasha la 21 la Nchi za Jahazi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa ZIFF Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi wakiwa na Tunzo yao waliokabidhiwa na Taasisi ya Nelson Mandela Children Festival Award, baada ya kukabidhi tunzo hiyo na Wawakilishi wa Taasisi hiyo.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akimkabidhi Tunzo ya Filamu Bora katika Tamasha la ZIFF,Filamu ya Fatuma kutoka Tanzania, Msanii wa Filamu Beatrice Taisamo,wakati wa hafla ya ufungaji wa Tamasha la 21 la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF, katika viwanja vya ngome konge Zanzibar.

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ZIFF, Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza wakati wa ufungaji wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar, ZIFF,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa ngome kongwe Zanzibar
WANANCHI na Watalii wakifuatilia maonesho ya ngoma ya Msewe wakati wa hafla ya Ufungaji wa Tamasha la 21 la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF linalofanyika katika viwanja vya ngome kongwe Zanzibar

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud,kulia na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ZIFF na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar. Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, wakifuatilia hafla hiyo wakati kikundi cha Sanaa cha kikitowa burudani ya ngoma ua msewe

WASANII wa kikundi cha Sanaa wakicheza ngoma ya msewe wakati wa hafla ya ufungaji wa Tamasha la 21 la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF, linalofanyika katika viwanja vya ngome kongwe forodhani Zanzibar.
WASANII wa kikundi cha Sanaa wakicheza ngoma ya msewe wakati wa hafla ya ufungaji wa Tamasha la 21 la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF, linalofanyika katika viwanja vya ngome kongwe forodhani Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.