Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Michezani Washiriki Katika Zoazi la Upandaji Mikoko.

Wanafunzi wa Skuli ya Michenzani Mkoani Pemba,wakiwa katika zoezi la upandaji wa Miti ya Mikoo katika ufukwe wa pwani ya Kijumba Michezani kunusuru uharibifu wa mazingira katika eneo hilo linalotishiwa na maji ya bahari kutokana na Tabia Nchi.
Wanafunzi wa Skuli ya Michenzani Mkoani Pemba,wakipanda miti ya mikoko katika fukwe ya kwa kijumba Michenzani. Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.