Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yatowa Fursa Kwa Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.

Afisa Muandamizi wa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd Ndg. Anasi Ramadhani Rashid akitowa maelezo ya fursa zinazotolewa na PBZ kwa Wanachama wa ZSSF na Wananchi wa Zanzibar wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadau wa Mfuko huo na kuadhimisha Miaka 20 ya ZSSF uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Wafanyakazi wa ZSSF na Wadau na Wanachama wa ZSSF wakifuatilia maelezo ya Afisi Mwandamizi wa Masoko wa PBZ Ndg. Anasi Ramadhani Rashid akitowa maelezo na fursa za PBZ kwa Wadau na Wanachama wa ZSSF wakati wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadau uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia maelezo ya Afisa Mwandamizi wa Masoko wa PBZ Anasi Ramadhani Rashid akitowa maelezo na fursa zinazotolewa na PBZ kwa Wadau wa ZSSF na Wananchi wa Zanzibar kupitia Benki yao.
Wadau wa ZSSF wakifuatilia Mkutano huo Mkuu wa ZSSF uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.