Habari za Punde

Wanaharakati wa Mtandao wa Watetezi wa Vitendo Vya Udhalilishaji Wakitafakari na Kuzungumzia Kifo Cha Mtoto Mwenye Ulemavu Aliyeokotwa Akiwa Amefariki katika Maeneo ya Mnarani Bumbwini Zanzibar.



Mwenyekiti wa Mtandao wa Utetezi wa Vitendo Udhalilishaji Zanzibar Bi. Salma Saadat, akizungumza na Wanaharakati kuhusiana na tukio hilo la kisikitisha la kuokotwa kwa Kijana mwenye ulemavu Abubakari Said Juma akiwa amefariki na kukutwa katika maeneo ya mnarani bubwini, mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Welesi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Mtandao Utetezi wa Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar Bi. Salma Saadat akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo kuzungumzia kifo hicho wakati wa mkutano waoi na Wadau wa Mtandao huo kuzungumzia jambo hilo katika Ofisi za Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Welesi Zanzibar.
Wanaharakati wakifuatilia mkutano huo wakiwa katika Ofisi za Watu Wenye Ulemavu Welesi Zanzibar kutafakari kifo hicho cha Kijana huyo mwenye ulemavu na mgonjwa wa akili. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.