Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza.

Ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ikiwa Juu Ziwa Viktoria Mwanza ikijiandaa kutua katika uwanja wa Mwanza leo 22/Agosti /2018
 Waziri Mkuu Kassim Majalliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mama Mary Majaliwa ,Makamu Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara  Philip Mangula pamoja na Mkuu wa Mkoa Mwanza .John Mongela pembeni  ya Ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL

Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akitoka Jijini Mwanza kuelekea  Dar es salaam na Mke wake Mary Majaliwa ikiwa ni mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiri wngine.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.