Habari za Punde

Ajali ya Gari katika Eneo la Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Jana Usiku.

*Ni ajali iliyotekeaaa katika kijiji cha dunga mitini mkoa wa kusini unguja ambapo ndani ya gari hiyooo mlikuwemo watu wapatao watano...... Wawili waliweza kuchupa.na watatu hawakuweza*

*Chanzo cha ajli hiii ni mwendo mkali uliosababishaaa driver kushindwa kuimiliki cross ya dunga mitini*

*Gari hizo mbili.zilizokuwa zikifukuzana ya mwanxo iliweza kuimiliki crosss hiyooo na ya pili haikumudu ndp ilipokosaaa njia na kwenda kwenye sheli ya mitinii na kusababisha kuripukaaaaa*

Ajali hiyooo imetokeaa mnamo mwa majira ya saa 11:50 uck huuu

Mpk.sasa watatu hao wanafanyiwaa uchunguzi kwenye hospital kuu ya mnazi mmojaaa na wawili walokimbiaaaa hawakuonekanaaa kutokanaaa na fadhaaaaa kubwaaa waliopata

Allah awape kauli thabit marehemu hawa na awajalieee kila la kjer familiaaa zao na moyo wa subraaa ktk kipindi kigumu

2 comments:

  1. Poleni sana kwa msiba mlopat allah awape kauli thabit. Lakin kwanini unarefusha kiswahili una haribu lugha kaka usitumie lugha ya mama kazini

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.