Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar, Mhe.Amina Salum Ali akitembelea maonesho ya Waganga wa Tiba Asilia Zanzibar wakati wa sherehe za Maadhimisho ya 16 ya Tiba Asilia Barani Afrika yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
16 hours ago




0 Comments