Mkurugenzi Shirika la Bandari Tawi la Pemba, Hamad Salum, akimpatia maelezo Waziri wa Ujenzi , Mwasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dk, Sira Ubwa Mamboya juu ya Gati ya sasa ya Wete na ile ambayo inatarajiwa kujengwa na Kampuni ya Bakhresa.
Waziri wa Wizara ya Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dk,Sira Ubwa Mamboya, akiangalia sehemu inayotarajiwa kujengwa gati ya Abiria huko katika Eneo la Shumba ya Mjini Micheweni Pemba.
Mhandisi wa Wizara ya Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Pemba,Khamis Massoud Khamis, akimpatia maelezo Waziri wa Wizara hiyo Dk,Sira Ubwa Mamboya , juu ya bara bara ya Mkia wa Ng'ombe Wilaya ya Micheweni Pemba.
Meneja Mradi wa Ujenzi wa bara bara ya Ole -Kengeja , Amini Khalid Abdalla , akimpatia maelezo Waziri wa Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Dk, Sira Ubwa Mamboya , wakati alipokuwa na ziara ya kutembelea bara bara hiyo wakati wa ziara yake Kisiwani humo. Picha na Zuhura Msabaha - Pemba.
No comments:
Post a Comment