Habari za Punde

Bonaza la Wafanyakafana Katika Ufukwe wa Pwani ya Bwejuu Zanzibar.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akipokea Maandamano ya wana Bonaza wa Idara na Taasisi zilizo chini ya Ofisi yake hapo Hotali ya African Sun Sand Sea Resort and spa Bwejuu.
 Maandamano ya Watendaji wa Idara na Taasizi zilizo chini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakiandamana ikiwa ni ishara ya kuanza kwa Bonaza lao lilofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya African Sun Sand Sea Resort and spa Bwejuu.

 Balozi Seif  akizindua rasmi Bonaza la Michezo mbali mbali iliyoshirikisha Watendaji wa Idara na Taasisi zilizo chini ya Ofisi yake hapo Hoteli ya African Sun Sand Sea Resort and spa Bwejuu.
 Mpambano wa Mchezo wa kuvuta Kamba ukiendelea kwa Timu ya Wanawake mchanganyiko zilizokuwa zikishindana mwa mfumo wa Timu A na B bila ya kujali mchezaji anatoka Idara au Taasisi gani.
 Meneja wa Tawi la Benki ya Biashara {NBC} Tawi la Zanzibar  Miongoni mwa Benki zilizofadhili Bonaza hilo Bwana Ramadhan Lesso akimpatia Maelezo Balozi Seif alipotembelea Banda lao kwenye Bonaza la Ofisi ya Makamu wa Pili huko Bwejuu.
 Mtanange wa soka la Ufukweni ukiendelea ambapo Timu B iliibuka na ushindi na kukabilidha Kikombe na Balozi Seif.
 Baadhi ya Watendaji wa Idara ya Uratibu wakipunga upepo wakati wa mapumziko ya Bonaza la Idara na Taasisi zilizo chini ya Ofisi yake hapo Hoteli ya African Sun Sand Sea Resort and spa Bwejuu huko Bwejuu.
 Wana Bonaza wa Idara na Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakijirusha kwenye ERusha Roho maalum lililoandaliwa kutoa burdani kwenye Boaza hilo hapo Hoteli ya African Sun Sand Sea Resort and spa Bwejuu.

 Maryam Mzee Yunus wa Idara ya Faragha akipokea zawadi yake kutoka kwa mgeni rasmi baada ya kushinda mbio za Magunia zilizokuwa na washabiki wengi.
 Mla Maandazi maarufu aliyeshinda kwenye Bonaza akipokea mshiko wake kutoka kwa Balozi Seif
 Mfukuza Kuku aliyeshinda na kuondoka na Jogoo akimpa Mkono Mgeni rasmi Balozi Seif baada ya kuibuka na ushindi.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi Kikombe Ali Hamadi wa Idara ya Mazingira ambae timu yake “B” ilishinda mchezo wa Soka la Ufukweni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.