Habari za Punde

Kampuni ya Zanzink Yakabidhi Huduma ya Internet Jumuiya ya Watu Wanaoishi na Saratani Zanzibar.

AFISA Masoko wa Kampuni ya ZANLINK, Ndg. Joseph Alban Mwale akitiliana Saini ya makubalianio ya kuwakabidhi Internet kwa Kiongozi wa Jumuiya ya Watu Wanaoishi na Saratani Zanzibar (ZAC) Bi. Mwanahamisi Mohammed Abdallah,kwa ajili ya matumizi ya Jumuiya kupata habari kupitia mtandao wa huo,hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Watu Wanaoishi na Maradhi Yasioambukiza Mpendae Zanzibar, wakishuhudia kushoto Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dkt. Said Gharib Bilal na kulia Makamu Mwenyekiti Ndg. Ali Zuberi Juma.
AFISA Masoko wa Kampuni ya ZANLINK, Ndg. Joseph Alban Mwale akitiliana Saini ya makubalianio ya kuwakabidhi Internet kwa Kiongozi wa Jumuiya ya Watu Wanaoishi na Saratani Zanzibar (ZAC) Bi. Mwanahamisi Mohammed Abdallah,kwa ajili ya matumizi ya Jumuiya kupata habari kupitia mtandao wa huo,hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Watu Wanaoishi na Maradhi Yasioambukiza Mpendae Zanzibar. 
AFISA Masoko wa Kampuni ya ZANLINK, Ndg. Joseph Alban Mwale wakibadilisha mikata baada ya kutiliana Saini ya makubalianio ya kuwakabidhi Internet kwa Kiongozi wa Jumuiya ya Watu Wanaoishi na Saratani Zanzibar (ZAC) Bi. Mwanahamisi Mohammed Abdallah,kwa ajili ya matumizi ya Jumuiya kupata habari kupitia mtandao wa huo,hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Watu Wanaoishi na Maradhi Yasioambukiza Mpendae Zanzibar, wakishuhudia kushoto Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dkt. Said Gharib Bilal na kulia Makamu Mwenyekiti Ndg. Ali Zuberi Juma.

Afisa Muandamizi Masoko wa Kampuni ya Zanlink Ndg Joseph Alban Mwale akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kukabidhi Internet Jumuiya ya Watu wanaoishi na Saratani Zanzibar, ili kuweza kuwasiliana na Wadau mbalimbali kupitia Mtandao na kutowa taarifa zao kupitia mtandao huo. kurahisisha kazi zao. 
Mwenyekiti wa Jumuiya za Watu Wanaoishi na Maradhi Yasioambukiza Zanzibar Dkt. Said Gharib Bilal akizungumza wakati wa hafla hiyo na kutowa shukrani zake kwa kuwezesha kupata huduma hiyo ili kuweza kurahisisha mawasiliano na Wahisani mbalimbali walioko nje ya Zanzibar na kutowa habari zao kupitia Mtandao huo.Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Jumuiya hiyo Mpendaev Zanzibar.
Wafanyakazi wa Jumuiya hiyo wakifuatilia hafla hiyo ya makabidhiano ya Internet iliotolewa na Kampuni ya Zanlink Zanzibar.
Meneja wa Jumuiya ya Muungano wa Jumuiya za Watu Wanaoishi na Maradhi Yasioambuzika Zanzibar Ndg. Haji Khamis Fundi, akitowa shukari kwa Kampuni ya Zanlink kwa msaada wao huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.