Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Chipuklizi na Mlande Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungana.

Mshambuliaji wa Timu ya Chipukizi kutoka Kisiwani Pemba akimpita beki wa Timun ya Mlandege wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.


Wachezaji wa Timu ya Chipukizi wakiomba dua baada ya kumaliza mchezo huo kipindi cha kwanza kwa kutoka bila kufunga mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.