Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Ujumbe wa Madaktari Kutoka Chuo Kikuu cha "Houkeland University Hospital" Cha Nchini Norway Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo Kikuu cha "Houkeland University Hospital " cha Nchini Norway Mr. Eivind Hamsen, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar leo kuzungumza na Ujumbe huo wa Madaktari hao leo Ikulu Zanzibar tarehe .16/11/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Chuo Kikuu cha "Houkeland University Hospital" cha Nchini Norway, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar Dk. Shein leo Ikulu.
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar wakifuatilia mazunguzo hayo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza kla Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko picha, mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Nchini Norway Chuo Kikuu cha "Houkeland University Hospital" wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Nchini Norway wa Chuo Kikuu cha "Houkeland University Hospital"baada ya mazunguzo yao Ikulu Zanzibar leo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.