Habari za Punde

Hafla ya kukabidhi Solar kwa wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Pemba

 Baadhi ya Wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Wilaya ya Mkoani Pemba, wakimsikiliza Naibu Waziri, wa Wizara ya Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar, Shadya Mohammed Suleiman, akiwahutubia katika hafla ya kuwakabidhi Sola kwa ajili ya Nyumba zao. Kaimu Ofisa mdhamini Wizara ya Uwezeshaji , Wazee , Wanawake na Watoto Pemba, Hakim Vuai Shein, akieleza machache kwa wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Pemba juu ya matumizi ya Sola watakazo kabidhiwa kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Wizara hiyo kuzungumza na Wananchi wa Makoongwe.

Naibu Waziri wa Wizara ya Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na watoto Zanzibar, Shadya Mohammed Suleiman, akizungumza na Wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Wilaya ya Mkoani Pemba , wakati wa hafla ya  wakabidhi

Sola kwa ajili ya matumizi ya majumbani.
 Sola ambazo zimekabidhiwa kwa Wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Mkoani Pemba.
  Sola ambazo zimekabidhiwa kwa Wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Mkoani Pemba.
Katibu tawala Wilaya ya Mkoani Pemba, Miza Hassan , akimkaribisha Naibu Waziri wizara ya Uwezeshaji , Wazee , Wanwake na Watoto Zanzibar, ili aweze kuzungumza na Wananchi wa Kisiwa cha Makoongwe Pemba, na kuwakabidhi Sola kwa ajili ya matumizi kwenye majumba yao.


PICHA NA HANIFA SALIM-PEMBA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.