Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Atunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani Utumishi Uliotukuka na Nishani ya Ushujaa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa kabla ya Kutunuku Nishani kwa Viongozi Wastaa wa Zanzibar.
Viongozi wa Serikali wakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo wa Taifa katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, wakati wa hafla ya kutunuku Nishani za Mapinduzi, Nishani za Uongozi Uliotukuka na Nishani za Ushujaa, wakwanza Mkuu wa Mkoa waMjini Magharibi Unguja, Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akipitiua kitabu cha Majina na Wananchi na Viongozi watakaotunukiwa Nishani za Mapinduzi na Uongozi Uliotukuka na Ushujaa, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar jioni.9-1-2019. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Nishani ya Utumishi Uliotukuka Kwa Watumishi wa Serikali.Mtoto wa Marehemu Mohammed Said Mohammed , Mwakilishi wa Famili Mhe. Simai Mohammed Said, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi.Balozi Ramadhin Omar Mapuri, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi Dkt. Mohammed Seif Khatib,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar,ikiwa ni kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi Meja Mstaaf wa JWTZ.Haji Abdalla Sadala, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Kwa Viongozi Bwa.Masauni Yussuf Masauni, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Wananchi Wenye Sifa Maalum. Bi. Sihaba Ismail Farahani, hafla hiyo ya kutunukiwa Nishani imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Wananchi Wenye Sifa Maalum Bw. Borafia Silima Juma, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Vikundi vya Uhamasishaji Mwakilishi wa Bendi ya Safari Trippers,mwakilishi wa Familia Ismail Issa Michuzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka kwa Watumishi wa Serikali Dkt. Mohammed Saleh Jidawi, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka kwa Watumishi wa Serikali Bw. Ameir Suleiman Haji (Njeketu) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani Utumishi Uliotukuka Mtoto wa Marehemu Himid Msoma Abdallah, Kocha Abdulghan Himid Msoma. hafla hiyo ya kutunuki Nishani imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka kwa Watumishi wa Idara Maalum za SMZ. Luteni Kanali Jabir Haji Hamza.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Ushujaa Mzee Ali Ameir Mwalim. kwa kazi ya kuzamia katika maji na mapango kuchukua sampuni ya mchanga kwa ajili ya kujua kima cha maji.ikiwemo eneo la kisima cha Dimani Wilaya ya Magharibi Unguja hadi sasa kinaendelea kutoa maji kwa Wananchi wa eneo hilo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Ushujaa Mwananchi wa Kijiji cha Makunduchi Bw. Muhammad Haji Muhammad, aliyejitolea kuingia katika kisima kuokoa maisha ya Mwananchi aliyetumbukia katika kisima na kumuokoa angali mzima. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.