Habari za Punde

Waziri Mku wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaaf Dkt. Salim Ahmed Salim.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim, alipofika kumjulia hali yake Nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.jana  Januari 6, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisindikizwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt Salim Ahmed Salim wakati  alipomjulia hali  Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary   wakisindikizwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam Januari 6, 2018. Watatu kushoto ni Mama Amen Salim
Picha Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.