Habari za Punde

Mkutano wa Wadau wa Maendeleo kujadili utafiti wa Nishati mbadala ya Umeme wa Jua

  Mkurugenzi wa Nishati na Madini Zanzibar, Mohamed Abdulla akizungumza na wadau wa Maendeleo mbalimbali (hawapo pichani) waliohudhuria katika mkutano wa kujadili Utafiti wa Nishati mbadala ya Umeme wa Jua (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 atibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Khamis Mussa (wa kwanza kulia), akifungua mkutano wa Wadau wa Maendeleo kujadili utafiti wa Nishati mbadala ya Umeme wa Jua, ghafla iliofanyika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 Wadau wa Maendeleo mbalimbali waliohudhuria katika mkutano wa kujadili utafiti wa Nishati mbadala ya Umeme wa Jua, ghafla iliofanyika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.