Afisa Mauzo wa Zantel kanda ya Pemba, Said Masoud Ali (kulia) akimkabidhi kitita cha shilingi laki mbili mmoja wa washindi kupitia promosheni ya Tumia EzyPesa Ushinde, Mohamed Nassor, katika hafla iliyofanyika katika ofisi za Zantel ChakeChake Pemba








0 Comments