6/recent/ticker-posts

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Juma Malik Akil Amezindua Kitabu cha Safari ya Kustaafu Ukumbi wa Michezani Mall Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Juma Malik Akil akizindua Kitabu cha Safari ya Kustaafu kilichotungwa na Mudrik Abdallah Mussa (kulia kwa Waziri) uzinduzi huo uliyofanyika wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) na (kushoto kwa Waziri) Mkurugenzi Muendeshaji wa (ZSSF) Nassor Ameir, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Juma Malik Akil, akiwa katika picha ya pamoja washiriki na wasimamizi wa Kitabu cha Safari ya Kustaafu baada ya kukizindua Kitabu hicho cha Safari ya Kustaafu kilichotungwa na Mudrik Abdallah Mussa (kulia kwa Waziri) uzinduzi huo uliyofanyika wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) na (kushoto kwa Waziri) Mkurugenzi Muendeshaji wa (ZSSF) Nassor Ameir, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Juma Malik Akil akimkabidhi Kitabu cha Safari ya Kustaafu  mmoja wa Washiriki wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi.Khadija Saleh Issa, wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar. 

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Juma Malik Akil akimkabidhi Kitabu cha Safari ya Kustaafu  mmoja wa Washiriki wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Hassan Khalifa Malemba, wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar. 

Post a Comment

0 Comments