WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar
Mhe.Dkt.Juma Malik Akil akizungumza na kuyafungua Mafunzo ya Maandalizi ya
Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
Zanzibar (ZSSF) yaliyowashikisha Wafanyakazi wa Serikali, Mashirika ya Umma na
Taasisi Binafsi, yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Wilaya ya Mjini
Jijini Zanzibar. 
MKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
Zanzibar (ZSSF) Nassor Ameir akizungumza na kutowa maelezo kuhusiana na mfuko
huo wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu
Watarajiwa Watakaolipwa kupitia Mfuko wa (ZSSF) mafunzo hayo ya siku mbili yaliyofanyika
katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.Wilaya ya Mjini Unguja.
MAOFISA wa ZSSF wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wakati
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Juma Malik Akil
akihutubia na kuyafungua mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani
Mall Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar
Mhe.Dkt.Juma Malik Akil akizungumza na kuyafungua Mafunzo ya Maandalizi ya
Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
Zanzibar (ZSSF) yaliyowashikisha Wafanyakazi wa Serikali, Mashirika ya Umma na
Taasisi Binafsi, yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Wilaya ya Mjini
Jijini Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu
Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)
wakimsikiliza Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Juma
Malik Akil akizungumza na kuyafungua mafunzo hayo ya siku mbili yaliyofanyika
katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar, yaliyowaashirikisha
Wafanyakazi wa Serikali, Mashirikika ya Umma na Taasisi Binafsi.
MKUFUNZI Madi Jaffar Khamis kutoka (ZSSF) akiwasilisha
Mada kuhusiana na Matayarisho ya Kustaafu wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya
Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
Zanzibar (ZSSF) yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar
Wilaya ya Mjini Unguja, yaliyowashirikisha Wafanyakazi wa Serikali,Mashirika ya
Umma na Taasisi Binafsi.

MKUFUNZI Dorah Nestory Chenyambuga Mhadhiri kutoka TIA
akiwasilisha Mada kuhusiana na Maisha Baada ya Kustaafu, wakati wa Mafunzo ya
Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi
ya Jamii Zanzibar (ZSSF) yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini
Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja, yaliyowashirikisha Wafanyakazi wa Serikali,Mashirika
ya Umma na Taasisi Binafsi.
MKUFUNZI Dorah Nestory Chenyambuga Mhadhiri kutoka TIA
akiwasilisha Mada kuhusiana na Fursa za Uwekezaji kwa Wastaafu Katika Taasisi
za Fedha, wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu kwa Wastaafu Watarajiwa
Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) yaliyofanyika katika
ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja,
yaliyowashirikisha Wafanyakazi wa Serikali,Mashirika ya Umma na Taasisi
Binafsi.
MKUFUNZI Mussa Yussuf Afisa Mafao (ZSSF) akiwasilisha Mada
Taratibu za Kudai Mafao ya Ustaafu (ZSSF) wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Kustaafu
kwa Wastaafu Watarajiwa Watakaolipwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar
(ZSSF) yaliyofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar Wilaya ya
Mjini Unguja, yaliyowashirikisha Wafanyakazi wa Serikali,Mashirika ya Umma na Taasisi

0 Comments