Habari za Punde

Taasisi ya TAQWA Tanzania Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Kisiwa Pemba Kwa Ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

MKURUGENZI  Mtendaji wa Taasisi ya TAQWA Tanzania Dk Salha Mohamed Kassim, kushoto akimkabidhi futari mlezi wa mama mlezi wa mtoto yatima,  futari hiyo imetolewa na Taasisi ya TAQWA Tanzania.
 BAADHI ya Vijana wakipanga pekeji ya futari katika gari maalumu kwa ajili ya kwenda kupatiwa familia zinazolea watoto mayatima, waliomo katika Jumuiya ya Tahafidhi Quran na Maendeleo ya Kiislamu Ole, futari hiyo imetolewa na Taasisi ya TAQWA Tanzania
BAADHI ya wazazi na walezi wanaolea watoto mayatima waliomo ndani ya Jumuiya ya Tahafidhi Qurana na Maendeleo ya Kiislamu Ole, wakimsikiliza kwa makini Mkiurugenzi mtendaji wa taasisi ya Taqwa, futari hiyo imetolewa na Taasisi ya TAQWA Tanzania.
(Picha na Abdi Suleiman  - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.