Habari za Punde

Wanafunzi Kutoka Chuo Cha Harvad Marekani Wazungumza na Waziri wa Biasha na Viwanda Zanzibar

Waziri wa Biashara, Viwanda Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Ujumbe wa wanafunzi sita  kutoka Chuo Kikuu cha Harvad cha Marekani Ofisini kwake Migombani, wanafunzi hao wapo nchini kuangali ubora wa Chumvi inayotengenezwa Zanzibar.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali na ujumbe wa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Harvad wakiangalia Paketi za Chumvi iliyotengenezwa Zanzibar Ofisini kwake Migombani
Picha Na Miza Othman –Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.