Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

MKADIRIAJI majengo kutoka kampuni ‘ZICON’ Juliana Ruhundwa, akiwaeleza waandishi wa habari namna ujenzi wa chuo cha amali Daya wilaya ya Wete unavyoendelea, wakati walipotembelea hapo pamoja na ujumbe wa MYDO

WANAFUNZI wa chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba, sekta ya ukataji na uungaji wa vyuma ‘welding’ wakiwa kazini kutengeneza majukwaa, kama sehemu ya mafunzo yao yanatolewa chuoni hapo.
 (Picha na Haji Nassor)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.