Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU DKT. JOSEPHAT GWAJIMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwakatikamazungumzonaAskofuMkuuwaKanisa la UfufuonaUzimaDkt. JosephatGwajimaIkulujijini Dar es Salaam. 

RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwakatikapichayapamojanaAskofuMkuuwaKanisa la UfufuonaUzimaDkt. JosephatGwajimaaliyeambatananaujumbe wake Ikulujijini Dar es Salaam. WenginekatikapichaniNaibuWaziriOfisiwaWaziriMkuuKazi, VijanaAjira Anthony Mavundewakwanzakutokakushoto. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.