Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.M

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa ZATUC  Ndg. Khamis Mwinyi, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Viongozi wa Meza Kuu wakiimba wimbo wa Solidariti Foreva wakati wa ufunguzi wa Mkutanio Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Wajumbe na Makatibu Wakuu wakishikana mikono wakati wa kuimba wimbo wa Solidariti Foreva katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.