Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Ramia Awasilisha Hutuba ya Bajeti 2019/2020.

Waziri wa Fedha na Mipangoo Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abduwawa akiwa na Begi la Bajeti Kuu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiingia katika ukumbi wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kuwasilisha Bajeti. kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wa Mkutano wa Bajeti. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abduwawa akiwasilisha Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka 2019/2020, wakati wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi wa Bajeti unaofanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2019/2020, wa kwanza Mwakilishi wa Jimbo la Chake chake Pemba Mohammed Sarahani, Mwakilishi wa Jimbo la Donge Zanzibar.Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed na Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibarv Mhe. Ramadhan Chande, wakifuatilia hutuba ya Bajeti kwa Mwaka 2019/2020. 
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2019 /2020. wakiti ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abduwawa. 
Wageni Waalikwa Mabalozi Wadogo na Wawakilishi wa Mshirika ya Umoja wa Mataifa wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakati ikiwasilisha na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Mohammed Ramia Abduwawa, katika Mkutano wa Bajeti wa Baraza la Wawakilishi Chukwa Zanzibar.
Wageni Waalikwa Mabalozi Wadogo na Wawakilishi wa Mshirika ya Umoja wa Mataifa wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakati ikiwasilisha na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Mohammed Ramia Abduwawa, katika Mkutano wa Bajeti wa Baraza la Wawakilishi Chukwa Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.