Habari za Punde

Balozi Seif mgeni rasmin Tamasha la 24 la Utamaduni wa Mzanzibari

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipiga Ngoma kuashiria uziduzi Rasmi wa Tamasha la 24 la Utamaduni wa Mzanzibari lililofanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar { Michenzani Square }.
 Balozi Seif akihutubia wakati akizindua rasmi Tamasha la 24 la Utamaduni wa Mzanzibari lililofanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar { Michenzani Square }.
 Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Aman Karume akimkaribisha Balozi Seif  kulifungua rasmi Tamasha la 24 la Utamaduni wa Mzanzibari lililofanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  Wasanii kutoka Vikundi mbali mbali vya Utamaduni hapa Nchini  wakipita na maandamano yao mbele ya Mgeni rasmi wa Tamasha la 24 la Utamaduni wa Mzanzibari Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani.
Picha na – OMPR – ZNZ.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.