Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kushoto akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dr. Aman Abeid Karume kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bandari Zanzibar Marehemu Salmin Senga Salmin kwenye Msikiti wa Mombasa Kwa Sheikh Othman Maalim.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsalia Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bandari Zanzibar Marehemu Salmin Senga Salmin kwenye Msikiti wa Ijumaa Mtaa wa Mombasa.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimuombea Dua ya safari njema ya milele Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bandari Zanzibar Marehemu Salmin Senga Salmin.
Picha na – OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment