Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA SIMBACHAWENE NA BASHE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. George imbachawena kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Hussein Bashe baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. George Simbachawena baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea jambo na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na viongozi waandamizi kutoka ofisi ya Makamu wa Rais katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya
kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akijiandaa kundoka mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019


PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.