Habari za Punde

Vijana Kisiwani Pemba Wapata Mafunzo ya Utumiaji wa Tablet

Mkufunzi wa mradi wa kuwawezesha Wasichana walio katika umri wa balehe na Wanawake Vijana, Mart Linneba - Older heim lea plearning , alitowa maelezo juu matumizi ya Tablet katika mradi huo kwa Mkurugenzi Mtendaji kutoka UNESCO Tanzania, Tirso Dos Santos huko Mkoani wakati alipotembelea klabu ya ICT.
Wafadhili wa mradi wa kuwawezesha Wasichana walio katika umri wa bakehe na Wanawake Vijana , ambao Korea International Cooperation Agency, na Mkurugenzi kutoka Unesco Tanzania, Tirso dos Santos,wakipata maelezo juu ya mradi huo ambao kwa Zanzibar unafanyika katika Wilaya ya Mkoani Pemba.
Baadhi ya Wasichana wakipatiwa mafunzo ya utumiaji wa Tablet huko katika Klabu ya ICT Mkoani Pemba.

Mkurugenzi Mtendaji wa UNESCO Tanzania, Tirso Dos Santos, akitowa maelezo  kwa Waandishi wa habari juu ya dhamira ya kuuleta mradi huo katika Wilaya ya Mkoani kwa Zanzibar.

Picha na Bakari Mussa -Pemba..

1 comment:

  1. Asalama aleykum mm nasema msiwavamie awo ni waongo,vndani ya misaada wanayao kuharibu uislam na kuleta Yao km inavyosema quran Siri Za makafiri zilokuwepo moyoni ni mbaya kuliko wanazozizungumza.
    Allahuakbaru.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.