Habari za Punde

Harakati za Maandalizi ya Ujenzi wa Mji wa Kisasa Kwahani Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja

Wananchi wa Mtaa wa Kwahani Wilaya ya Mjini Unguja wakiendelea na zoezi la kuvunja nyumba zao kupisha Ujenzi wa Mji wa Kisasa wa Maendeleo unaojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. Wananchi wa Kwahani tayari wameshalipwa kwa ajili ya kuhamia sehemu nyengine kupisha ujenzi huo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.