Habari za Punde

Mshindi wa Zantel Promosheni ya MSAKO TIME Akabidhiwa Zawadi Yake.

Meneja wa wateja Maalumu wa Kampuni ya Zantel, Ndg.Deogratias Shio (kushoto) akimkabidhi simu janja, mmoja wa washindi 6 wa MSAKO TIME wiki hii, Abbas Yahya, mkazi wa Dar es Salaam, Washindi wa MSAKO TIME wanapatikana baada ya kujibu maswali redioni au kuweka picha kwenye kurasa za Facebook na Instagram Kampeni ya MSAKO TIME inawawezesha wateja kutumia intaneti kwa saa moja kila siku.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.