Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Alihutubia Bara La Eid El Hajj Viwanja Vya Langoni Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo.

Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Alhajj Ali Mohamed Shein ukiwasili katika Viwanja Vya Langoni Wilaya ya Magharibi "A" Unguja kuhudhuria Baraza la Eid El Hajj Kitaifa limefanyika katika Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dkt. Amani Karume na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.