Habari za Punde

Vikosi Vya Yanga na Mlandege Wakipasha Kamla ya Kuaza Mchezo Wao wa Kirafiki Uliofanyika Uwanja swa Amaan Zanzibaer Jana Usiku.

Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga Afrika Mwinyi Zahera akizungyumza na EWachezaji wake kabla ya kuaza kwa machezo wao wa kwanza wa kijipima nguvu wakiwa kambini Zanzibar , mchezo huo umefanyika katika Uwanja swa Amaan Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo bao 5-1. dhidi ya Timu ya Mlandege inayojiandaa na Ligiu Kuu ya Zanzibar mwishoni mwa mwezi huu.
 Wachezaji wa Timu ya Yanga Afrika wakiwa katika mazoezi ya viungo kabla ya kuaza mchezo wao wa kirafiki na Timu ya Mlandege ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
 Wachezaji wa Timu ya Yanga Afrika wakiwa katika mazoezi ya viungo kabla ya kuaza mchezo wao wa kirafiki na Timu ya Mlandege ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Mlandege wakiwa katika mazoezi kabla yta kuaza mchezo wao wa Kirafiki na Timu ya Yanga Afrika kutoka Jijini Dar es Salaam. mchezo huo umefanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Mlandege wakiwa katika mazoezi kabla yta kuaza mchezo wao wa Kirafiki na Timu ya Yanga Afrika kutoka Jijini Dar es Salaam. mchezo huo umefanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.