Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Atembelea Makumbusho ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa  simu wa zamani  wakati alipotembelea makumbusho ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) iliyopo kwenye jengo la EXTELECOMS HOUSE jijini Dar es salaam, Agosti 3, 2019. Kushoto kwake ni Nibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba na Kulia ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa TTCL,  Laibu Leonard.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.