Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM.Bi. Lela Burhani Ngozi, 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia makabrasha yao kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.  

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar \,kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashari Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akingia katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kukifungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakifuatilia kikao hicho leo.
Wajumbe wa Halmashari Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo picha) akikifungua kikao hicho cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.