Habari za Punde

Mchezo wa Ufunguzi waLigi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini Kati ya Kwaalinatu na Dira Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.1-1

Mchezaji wa Timu ya Dira akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Kwaalinatu wakati wa mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini zinazofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Kwaalinatu akimpita beki wa Timu ya Dira wakati wa mchezo wao ufunguzi wa Ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar. Timu hizo zimetoka sare ya bao.1-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Kwaalinatu akiwa na mpira akijaribu kumpita beki wa Timu ya Dira wakati wa mchezo wao wa Ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.