Habari za Punde

MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NATAARIFA YA KUONDOA ADHABU,RIBA NA FAINI KWA WALIPA KODI WAFANYIKA ZANZIBAR.

 
Meneja Uhusiano na Huduma kwa walipa kodi Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB Shaaban Yahya Ramadhan akitoa ufafanuzi kuhusiana naTaarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Rehema Juma Mema akiuliza maswali katika  Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.