Mchezaji wa Timu ya African Magic akidaka mpira huku mchezaji wa Timu ya Polisi akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wa Kombe la Wooter Africa mchezo uliofanyika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Polisi imeshinda kwavikapu 64 -49.
CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO,
(Msumbiji), Nd...
9 minutes ago
0 Comments