Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Swaleh Omar Kabi akitoa hotuba ya Ufungaji wa Mafunzo ya Siku Tatu ya Uzazi wa Mpango na Salama kwa Mama na Matoto yaliowashirikisha Maimamu,Makhtibu wa Miskiti ya Ijumaa na Walimu wa Vyuo vya Kur-ani hafla iliofanyika atika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Unguja.
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Sheikh Abdalla Twalib akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika Hafla ya Ufungaji wa mafunzo ya siku Tatu Uzazi wa Mpango na Salama kwa Mama na Matoto yaliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Unguja.
Baadhi ya Washiriki katika Mafunzo ya siku Tatu ya Uzazi wa Mpango na Salama kwa Mama na Matoto yaliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Mjini Unguja.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment