Habari za Punde

Spika wa Baraza l;a Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid Ameizindua Jezi Mpya ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Hereos Uwanja wa Amaan Jana Usiku H

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe Zuberi Ali Maulid akiwa na Jezi Mpya ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes, baada ya kuizindua jana usiku katika Uwanja wa Amaan Zanzibar wakati wa kuiaga Tinu hiyo kwa mchezo wake wa mwisho wa kujiandaa na michuano ya Chalenji yanayotarajiwa kuaza wiki hii Nchini Uganda. akiwa na Viongozi wa Kamati ya Ushindi ya Zanzibar Heroes kushoto Mwenyekiti wa Kamati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Wajumbe wa Kamati hiyo. 
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakiwa na jenzi mpya za Timu hiyo baada ya kuzinduliwa rasmin na Spika Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, wakati wa mchezo wake wa mwisho wa majaribio uliofanyika katika uwanja huo na kucheza na Timu ya Kombai ya Kaskazini Unguja na Timu ya Taifa ya Jangombe.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.