Habari za Punde

WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI MKOANI MOROGORO WAWASILISHA CHANGAMOTO ZAO KWA MAWAZIRI.

Mawaziri na Manaibu Waziri wa Wizara mbalimbali wakiwasili  ukumbini kwa ajili ya  Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji kwa lengo la kusikiliza changamoto zao uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Glonency Mkoani  Morogoro  tarehe 12 Disemba, 2019. Kushoto ni Mkuu wa mkoa huo Mhe. Loata Ole Sanare.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (wa kwanza kulia)  wakiwa pamoja na Manaibu Waziri wakipata maelezo kutoka kwa Sajenti Esther Mbugura kuhusiana na vifaa  vinavyotumika kwa ajili ya kuzimia moto wakati wa Mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashara na Wawekezaji Morogoro.
Baadhi ya Watendaji wakuu wa Serikali wakiimba wimbo wa Taifa  mara baada ya kuingia  ukumbini kwa ajili ya  Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji kwa lengo la kusikiliza changamoto zao uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency mkoani  Morogoro.
Baadhi ya Manaibu Waziri na Mawaziri wa Wizara walioshiriki katika Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji wakiwasikiliza wachangiaji mbalimbali walioalikwa katika mkutanouliolenga kusikiliza changamoto za Wafanyabiashra uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency mkoani  Morogoro  tarehe 12 Disemba, 2019.
Baadhi ya Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali  wakifuatilia majadiliano ya   Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza na kutatua changamoto zao katika mkutano  uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency mkoani  Morogoro  
Baadhi ya Wafanyabiashara na Wawekezaji  wakifuatilia majadiliano ya Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza na kutatua changamoto zao katika mkutano  uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency mkoani  Morogoro  
Afisa Masoko  wa Royal Agri Company, Elizabeth Priscus akichangia hoja ya kuwawezesha Wahitimu kujihusisha katika shughuli za kilimo cha mazao mbalimbali  mkoani Morogoro katika  Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza changamoto zao katika mkutano  uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency.
Waziri wa Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuki wakiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loata Ole Sanare wakiwa katika Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza changamoto zao katika mkutano  uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency mkoani  Morogoro 
Mmoja wa Wafanyabiashara, Mwadhini Myanza akichangia hoja ya uwepo wa viwanda vya pamba katika Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza changamoto zao katika mkutano  uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency mkoani  Morogoro
Mjumbe wa TCCIA, Anthony Fuime  akichangia hoja kuhusu umuhimu wa kuwa na mipango inayotekelezeka katika ngazi ya Halmashauri wakati wa Mkutano  wa Mashauriano baina ya Serikali, Wafanyabiashra na Wawekezaji uliolenga  kusikiliza changamoto zao katika mkutano  uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Glonency.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.