Habari za Punde

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt.Bashiru Katika Mkoa wa Mjini Unguja.

Katibu Mkuu wa CCM Taifa.Dkt.Ally Bashiru akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Mjini Unguja akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib (kulia) na kushoto Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani Ndg.Abdalla Mwinyi. 
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Ally Bashiru akipandisha bendera katika moja ya Matawi ya CCM katika Wilaya ya Mjini wakati wa ziara yake katika Mkoa huo.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiri akipata maelezo kutoka kwa Vijana wa Vikundi vya Ujasiriamali katika Chuo cha Ujasiriamali cha UWT Wilaya ya Mjini kilichoko katika eneo la Miembeni  hutowa mafunzo kwa Vijana mbalimbali katika Kituo hicho.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru akishiriki katika ujenzi wa Taifa katika ujenzi wa ukarabati wa jengo la Tawi la CCM jimbo la Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiri akipata maelezo kutoka kwa mhandishi wa mradi wa ujenzi wa ukarabati wa jengo la Tawi la CCM Kikwajuni wakati wa ziara yake Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.