Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki Mhe.
Danieli Mtuka aliyenyanyua mikono akitoa ufafanuzi kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Ndg.Philipo Japhet Mangula
(mwenyemiwani) wakati wa ziara yake alipotembelea kwenye mradi mkubwa wa shamba la pamoja la
Korosho lenye zaidi ya ekari 12000 eneo la
Masagati Manyoni Mkoani Singida leo kulia kwa Mangula ni Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Ndg.Rahabu
Jackson Mwagisa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara,
Philipo Japhet Mangula akikagua Mkorosho kwenye mradi mkubwa wa shamba la pamoja la
Korosho lenye zaidi ya ekari 12000 eneo la
Masagati Manyoni Mkoani Singida leo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku saba katika Mkoa wa Singida(Pichana
John Mapepele.
Makamu Mwenyekitiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philipo Japhet Mangula akikata keki maalum ya miaka 43 ya Chama Cha Mapinduzi katika kikao cha tathmini na majumuisho ya ziara yake ya kikazi ya siku saba mkoani Singida kwenye ukumbi wa maktaba wilayani Manyoni leo kulia ni Mwenyekitiwa CCM Mkoa wa Singida Alhaji Juma kilimba kushoto ni Mwenyekitiwa CCM Wilaya ya Manyoni Jumanne Mahanda anayefuata Katibu wa CCM Mkoa wa Singida AlexndrinaKatabi
Umati wa wanachama wa CCM uliohudhuria mkutano wa Makamu Mwenyekitiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philipo Japhet Mangula
(Pichana John Mapepele)
No comments:
Post a Comment