Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiendesha Mkutano  wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 18/02/2020.
 Maafisa wa Idara mbali mbali za Wizara ya  Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza katika  Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 18/02/2020.
 Mshauri wa Rais masuala ya Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Chimbeni Kheir Chimbeni (kulia) pamoja na Wakurugenzi katika Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza katika  Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 18/02/2020.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiendesha Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu] 18/02/2020.
 Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa  na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (katikati) alipokuwa  akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla na Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia),[Picha na Ikulu]. 18/02/2020.  

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa  na Michezo Nd,Omar Hassan Omar  (kushoto) alipokuwa  akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Raios wa Zanzib ar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) na Naibu Katibu Mkuu Nd,Amourhamil Bakari (kulia),[Picha na Ikulu]. 18/02/2020. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.