Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Maafa wa SADC .Uliofanyika Ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr,mbweni Jijini Zanzibar  (katikati) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira  na Walemavu.Mhe.Jenista Mhagama.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Hassan Khatib Hassan na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge,Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu. Mhe. Jenista Mhagama na Katibu Mtendaji wa (SADC) Dkt.Stergomena Lawrence Tax, wakiwa wamesimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na wa SADC, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana na Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Madinat Al Bahr mbweni Jijini Zanzibar
 BAADHI ya Mawaziri wa Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa ya (SADC ) wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Sadc wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, uliofanyika Jijini Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni.
Mawaziri wa Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa ya (SADC ) wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Sadc wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, uliofanyika Jijini Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni.
Baadhi ya Mawaziri wa SMT na SMZ  wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Sadc wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, uliofanyika Jijini Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni.


KATIBU Mtendaji wa SADC.Dkt. Stergomena Lawrence Tax, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar
MAWAZIRI Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Madinat Al Bahr wakihudhuria  ufunguzi wa mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri wa Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  (SADC) uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu.Mhe.Jenista Mhagama, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika.(SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri wa SMT na SMZ wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, wakati wa ufunguzi huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika leo 21-2-2020, katika ukumbi waHoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri wa SMT na SMZ wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, wakati wa ufunguzi huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika leo 21-2-2020, katika ukumbi waHoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.

 BAADHI ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa Kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri wa SMT na SMZ wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, wakati wa ufunguzi huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika leo 21-2-2020, katika ukumbi waHoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wajumbe wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Wajumbe wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi  Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)  katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar ,(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe, Hassan Khatib Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge,Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu. Mhe. Jenista Mhagama na Katibu Mtendaji wa (SADC) Dkt.Stergomena Lawrence Tax.
BAADHI ya Wajumbe wa Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa meza kuu na Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejiminti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)  baada ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoka katika ukumbi wa mkutano wa hoteli ya Madinat Al Bahr mbweni Jijini Zanzibar, baada ya kuufungua mkutano huo, (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi , Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji SADC.Dkt. Stergomena Lawrence Tax

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.