Habari za Punde

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Dar es Salaam Independent School Wafanya Ziara ya Mafunzo Bungeni Jijini Dodoma..

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Dar es salaam Independent School  ya Mikocheni  ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Misingi ya Dar es salaam Independent School ya Mikocheni ambao walifika bungeni jijini Dodoma kwa ziara ya mafunzo, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margaret Sita (kushoto) na Mbunge wa Viti Malaam, Mwanne Mchemba kwenye vivanja vya bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mbunge wa  Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.