Habari za Punde

WAZIRI WA UTALII AKUTANA NA JUMUIYA YA WAONGOZAJI UTALII KUTOKA NCHI YA ITALI

WAZIRI wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza katika mkutano wa kubadilishana mawazo na Jumuiya ya Waongozaji Watalii kutoka nchi ya Itali, kwa lengo la kuimarisha sekta ya Utalii hapa Zanzibar, hafla iliofanyika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni.
WAJUMBE wa Jumuiya ya Waongozaji Watalii kutoka nchi ya Itali, wakiwa katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni kwaajili ya mkutano wa kubadilishana mawazo na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, Mahmoud Thabit Kombo, kwa lengo la kuimarisha sekta ya Utalii hapa Zanzibar.
KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Khamis Mussa, akizungumza wakati wa mkutano wa kubadilishana mawazo na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale na Jumuiya ya Waongozaji Watalii kutoka nchi ya Itali,kwa lengo la kuimarisha sekta ya Utalii hapa Zanzibar, hafla iliofanyika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni
MUEKEZAJI kutoka nchi ya Italia Antonela, akitoa maoni yake wakati wa mkutano wa kubadilishana mawazo na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale na Jumuiya ya Waongozaji Watalii kutoka nchi ya Itali,kwa lengo la kuimarisha sekta ya Utalii hapa Zanzibar.
WADAU mbalimbali wanaosimamia sekata ya utalii wakiwa katika mkutano wa kubadilishana mawazo na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale na Jumuiya ya Waongozaji Watalii kutoka nchi ya Itali,  kwa lengo la kuimarisha sekta hiyo hapa Zanzibar.(Picha na Abdalla  Omar). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.