Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Balozo Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China Anayefanyia kazi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar  Bw. Xie Xiaowu wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa  ajili ya kusalimiana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akifuatana na  mgeni wake  Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake hapa Zanzibar Bw. Xie Xiaowu baada ya mazungumzo yao  leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana,[Picha na Ikulu].03/03/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.