Habari za Punde

MAJALIWA AONGOZA ZOEZI LA KUMDHAMINI MAGUFULI

Baadhi ya wana CCM waliojitokeza kujaza fomu za kumdhamini Rais Dkt. John Pombe   Magufuli ili aweze kuteuliwa kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao. Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa aliongoza zoezi hilo kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, Juni 21,2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Makuu, Kasim Majaliwa akishuhudia wakati wana CCM walipojitokeza  kujaza fomu za  kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa tena kugombea urais katika uchaguzi ujao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi , Fadhili Juma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi fomu zenye majina , saini za wana CCM waliomdhamini Rais Dkt. John Magufuli ili aweze kugombea tena urais Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Said Kaondo baada ya kumaliza  zoezi la  udhamini kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya ya Ruangwa, Juni 21, 2020.Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Fadhili Juma.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.