Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma.

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Paramagamba Kabudi, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11, 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia , Profesa Joyce Ndalichako (katikati), Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba,  Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata, née ya jengo la  Bunge jijini Dodoma, Juni 11, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.